Luke 12:1

Maonyo Dhidi Ya Unafiki

(Mathayo 10:26-33)

1 aWakati huo, umati mkubwa wa watu maelfu, walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, Isa akaanza kuzungumza kwanza na wanafunzi wake, akawaambia: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani, unafiki wao.
Copyright information for SwhKC